KWELI AU SI KWELI?

Dunia imejaa maneno maarufu na mithali. Mengine ni ya kidini sana mpaka hupingana na Neno la Mungu, lakini wanaamini kuwa […]

SADAKA CHAFU

               “vipofu ninyi maana ni ipi iliyokubwa , ile sadaka , au ile madhabahu itakasayo                  sadaka ?”     Mathayo 23 […]

SIRI YA IMANI

  Wengi wameuliza: siri ya imani ni nini? Kila mshindi kila mara anaye mtu wa mfano . Ikiwa ni katika […]

SOMO LA ALIZETI

Alizeti hugeuka kulingana na sehemu yenye jua, kwa maneno mengine, “hufukuzia mwanga.” Huenda tayari unajua jambo hili, lakini kuna ukweli […]

JE , DUNIA YAKO NI NINI LEO?

    Kwani atafaidiwa nini , mtu akiupata ulimwengu wote , na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa […]

IMANI NA UPENDO WA UONGO

Imani na upendo huonekana kama ni maneno yanayotumiwa zaidi duniani. Japokuwa , watu wachache wameishi ukweli wao. Ukosefu wa kupambanua […]

KUASI IMANI

  Kila mwaka mpya unapoanza, kuja kwa Bwana wetu kunakaribia. Kwa sababu hii, tumeshuhudia kuanguka kutoka kwenye imani katika maisha […]

IMANI BILA NEEMA

uongo una sura nyingi  Baba yao, shetani , anajua kwamba uongo mara kwa mara mara nyingi huishia kufanana na ukweli. […]

KAMA KUKU ASIYE NA KICHWA

Katika Biblia, hapakuwa na mtumishi hata mmoja wa Mungu ambaye alitii bila imani au aliyedhihirisha imani yake bila utii. Katika […]

IMANI YENYE GANZI

Hakuna kinachompa shetani raha zaidi kuliko kutazama waamini ambao wameathirika na Biblia. Watu ambao hawa tazamii kuweka kwenye matendo, lakini […]