Mfungo wa Daniel ni nini?

Mfungo wa Daniel unalingana na kusudi linaloelezewa katika sura ya 10 ya kitabu cha Daniel katika Biblia. Kwa siku 21, […]

CHUKUA TAHADHARI

Nilikuwa natafakari kwenye orodha ya vitu na watu ambao Bwana Yesu alituamuru sisi tuchukue tahadhari: ANGALIENI usifanye wema wenu machoni […]

Kikombe kimoja

Mungu mmoja, Baba mmoja, Yesu Kristo mmoja, Roho Mtakatifu mmoja, Bwana mmoja, Imani moja Familia moja,   Mwanamke mmoja, mwanamme […]

MUNGU USO KWA USO

Yakobo alitakaswa kama mzaliwa wa kwanza wa baba yake Isaka; Yakobo alikuwa na maono ya ngazi iliyojuu inayofika mbinguni; Kwenye […]

Dhabihu ya haki.

Daudi aliona aina nyingi za dhabihu zikitolewa kwa Mungu zikiwa mbali zaidi na imani za kidini. Ni kweli kwamba zinaonyesha […]

Muhuri wa Mungu

Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; amabacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo […]

Imani na haki  

  Kuishi katika Imani ni kuishi katika haki. Haiwezekani kuwa na Imani katika ukweli na kuishi katika uongo. Haiwezekani kuamini […]