Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; amabacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu. Yohana 6:27

 

Siku hizi watu wanatumia sahihi zao, lakini wafalme wa siku za kale waliweka sheria na mihuri ya kifalme.

 

Ubatizo wa Roho Mtakatifu ni Muhuri, alama ya pete ya Mungu kwa Watumishi wake. Kuzimu yote inaona na kuitambua alama hii ya uaminifu. Kwasababu ya hili, uovu hauna nguvu juu yao.

 

Japokuwa , wale ambao hawana muhuri huu, japokuwa wanamuamini Mungu, bado wataathiriwa na kuzimu.

 

Askofu Macedo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *