Daudi aliona aina nyingi za dhabihu zikitolewa kwa Mungu zikiwa mbali zaidi na imani za kidini. Ni kweli kwamba zinaonyesha imani na utii wa sheria za Musa.

 

Japokuwa, Daudi pia alikuwa anautambuzi wa dhabihu za aina hii, kupitia historia ya Israel, alipotoka kutoka kwenye kanuni za imani yenye akili. Ni kwasababu ya dhabihu, ambazo zilikuwa za kiutamaduni sana, zikawa majukumu yasio na maana. Kwasababu hii, wakati mgumu zaidi wa maisha yake, alisema katika maneno mengine: Maana hupendezwi na dhabihu, au , ningetoa, wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa. Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika,, moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau. (Zaburi 51:16-17)

 

Kuanzia hapo, Daudi anasali kwaajili ya ustawi wa sayuni na kwaajili ya kujenga ukuta wa Yerusalem. (Zaburi 51:18).

 

Kiukweli , anaomba, sio kwaajili ya Sayuni na Yerusalem tu , lakini kwaajili yake mwenyewe, kwasababu kama maisha yake hayatarejeshwa kwa msamaha wa Mungu na “ukuta wa waisha yake” hautajengwa (toba ya kweli), hakutakuwa na sadaka ya haki itakayomfurahisha Bwana. Huu ndiyo uzuri wa dhabihu, wakati mtoa sadaka anapokuwa kwenye dhambi?

 

Daudi alikuwa na uelewa wa wazi wa aina ya dhabihu ambayo Mungu alitaka. Sadaka ya dhabihu pekee ndiyo yenye thamani (ni haki) wakati mtoaji ni mwenye haki.

 

Ndipo atakapopendezwa za dhabihu ya haki, na sadaka ya kuteketezwa, na kafara. Ndipo watakapotoa ng’ombe juu ya madhabahu yako. Zaburi 51:19

 

Askofu Macedo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *