Nilikuwa natafakari kwenye orodha ya vitu na watu ambao Bwana Yesu alituamuru sisi tuchukue tahadhari:

ANGALIENI usifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kw ababa yenu aliye mbinguni . Mathayo 6.1

Akawaambia “ANGALIENI , jilindeni na uchoyo, maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo.” Luka 12:15

Akawaagiza , akasema, “ANGALIENI , jihadharini na chachu ya mafarisayo na chachu ya Herode”. Marko 8:15

“JILINDENI , waandishi, wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu na kusalimiwa masokoni na kuketi mbele katika masinagogi na viti vya mbele karamuni. Wanakula nyumba za wajane na kwa unafiki husali sala ndefu. Hao watapata hukumu iliyo kuu.” Luka 20:46 – 47

Kama tukichambua hili, wakati wa KUCHUKUA TAHADHARI ya KUFANYA , tendo la “kufanya” linahusika. Kutoa ili kuonekana na kutambulika haitaleta thawabu zozote . na kuwa na tama, kutoa sadaka tu au “kuto” kutaka kutoa ni uovu mkubwa mbele ya Mungu. Kwahiyo Bwana yesu alisema : CHUKUA TAHADHARI ya hili !

Lakini, inapokuja kwenye nini cha kufanya CHUKUA TAHADHARI ya KUWA, inahusisha tendo la kuwa “ mnafiki” aametuambia TUJIHADHARI tusiwe kama mafarisayo na waandishi, ambao ni wale Bwana Yesu aliwakemea kwenye mathayo , sura ya 23 . nini ingekuwa sababu ya ukali?

Kwa uelewa mzuri, tulinganishe kile tulichoongelea hadi sasa na Bwana Yesu aliongelea kanisa la laodikia kwenye ufunuo; Nayajua matendo yako ya kuwa hu baridi wala hu joto; ingekuwa heri ungekuwa baridi au moto., basi kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi awala moto, nitakutapika utoke katika kinywani changu . Ufunuo 3:15- 16

Kanisa hili lilikuwa , la “uvuguvugu”, hii sio wa moto au baridi. Kwenye kanisa la universal, tunashikilia “KILA KITU” au “SI KITU” ndio sababu ya kushutumiwa kila wakati na kuonwa kama misimamo mikali na itikadi kali , haswa inapokuja kwenye dhabihu.

Japokuwa siyi hichi ambacho Bwana Yesu anasema hapa? Na atamesema ni bora kuwa wa “baridi” . kwanini hivyo? Kwa sababu wale walio wa baridi “hawajifanyi” kuwa wa Kristo, mtii Mungu kwa hali yoyote, kutoa ushuhuda “mbaya”ambayo itatutupa watu wengi kuzimu.

Wale ambao ni wauvugu uvugu wanatoa sehemu , nusu ya kila kitu kwenye Madhabahu na kujiona wao wenyewe “wakristo” lakini hawana ujasiri wa kufanay dhabihu ya YOTE yao madhabahuni. Kwahiyo , ushuhuda wao haujakamilika na kusababisha wengi kutilia mtiliamashaka Mungu na kuwa na maswali kwa kanisa.

Kwa upande mwingine , wale walio wa moto wanatoa YOTE yao Madhabahuni . Matokeo yake , wanapokea YOTE kutoka Madhabahuni na kuishi maisha ya utukufu Bwana Yesu, kushiriki ili wamjue Bwna Yesu, wakabithi maisha yao kwake.

Tunahitimisha kwamba sababu ya Bwana Yesu ya kuwa na hasira na wanafiki wa kidini , waliokuwa wa uvuguvugu na kuakachukizwa sana nao mpaka akafkia hatua ya kusema , Angewatapika kutoka kwenye kinywa chao, ni kile alichokieleza kwenye mathayo sura ya 23:

Ole wenu waandishi na mafarisayo , wanafiki. Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamuingii, wala wanaoingia hamuwaachi waingie. Mathayo 23:13

Hawaingii ndani( msitoe KILA KITU) wala hawaruhusu wengine waingie kwa sababu ya” ushuhuda wao mbaya” chukua tahadhari …. ili isikutokee na wewe!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *