Nakataa kufikiria kwamba Bwana Yesu alikuja kwetu , akajiruhusu yeye mwenyewe kufa kifo cha ukatili, na akafufuka tena – ili kwamba haya yote yawe msukumo tu wa kutengeneza nyimbo na miongozo mzuri ya filamu.

Je! Unafikiri ilikuwa tu ni kwa ajili ya hayo ?

Wiki Takatifu inaonyesha Siku tatu muhimu zaidi katika historia ya wanadamu na pia ya Uungu. Haiwezekani wala sio haki kwamba maisha yako – ndiyo, wewe –ya baki vile vile, yawe tofauti na matukio haya.

… kama vile Kristo alivyofufuka kutoka kwa wafu kwa utukufu wa Baba, kwahiyo na sisi sote tutembee katika maisha mapya. Warumi 6:4

Wakati mtu ANAELEWA na anaamini katika kile kilichotokea msalabani na kaburini, upya wa maisha unakuwa ukweli. Inatakiwa itokee kabla na baada. Tunatazamia na tunajikabithi ili kufanya Wiki hii Takatifu kuwa wiki ya mabadiliko ambayo hujawahi kuyaishi. Ana kitu kipya kwa ajili yako!

Tutaonana Ijumaa kuu .

Kwa imani na Hekima

LINI : TAREHE 30 MARCHI , SAA 4 ASUBUHI . 31 MARCHI SAA 4 ASUBUHI NA 1 APRILI SAA 4 ASUBUHI

MAKAO MAKUU : KANISA LA UNIVERSAL LA UFALME WA MUNGUBARABARA YA CHANG’OMBE – TUNATIZAMANANA CHUO CHA UFUNDI VETA

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *