Mfungo wa  Danieli ni nini?

Mfungo wa Danieli unaegemea kwenye mfungo uliolezwa katika kitabu cha Danieli sura 10, katika Biblia. Katika siku 21, Daniel aliamua kufunga ili kupata kibali, hekima, na ufahamu kutoka kwa Mungu.

Siku za leo, kati ya orodha ya vitu ambavyo huingilia mahusiano yetu na Mungu, vikwazo ni vingi kipindi  hiki – na huja katika aina zote za burudani na habari za kidunia ambazo hututawala mara kwa mara. Bwana Yesu alisema “Yeye aliye na masikio ya kusikia, na asikie!” (Mathayo 13: 9) Kusudi la mfungo wa Danieli ni jambo hili: kufungua masikio yetu kwa sauti ya Mungu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *