Kuwa na nguvu ni rahisi. Ila sehemu ngumu ni kuwa na nguvu “ ya  kuwa ”.

Haswa inapokuja kuwa wa Mungu  , sababu hii ni ngumu sana. Naweza kusema karibu haiwezekani.

Wakati Roho wa hekima alikuwa pamoja na Sulemani, alisema:

Asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa; Na mtu aitawalaye roho yake kuliko mtu atekaye mji.  Mithali 16:32

Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi. Matendo 1:8

Si tu kuwa shahidi kwa mafanikio ya kimwili. Lakini, kuwa shahidi na kuonyesha usafi Wake ,ukweli na picha nzuri  kupitia tabia na matendo.

Ujazo wa Roho Mtakatifu una lengo hili la msingi : nguvu kutoka juu ili kuwa wa Mungu.

Askofu Macedo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *