Jumapili ya ugawaji wa mafuta yaliyobarikiwa kutoka Israeli, Tarehe 06 Januari 2019 . ibada zitakuwepo saa 12 asubuhi , saa 2 asubuhi , saa 4 asubuhi , saa 7:30 mchana na saa 10:00 jioni . usikose kufika katika kanisa la universal jumapili hii ..

Ni siku maalumu kwako wewe unayesema unahitaji msaada wa Mungu katika tatizo unalopitia ; kwenye familia , kazi , Afya n.k . tunakukaribisha uje upokee mafuta yaliyobarikiwa kutoka Israeli bure kabisa ambapo utaenda kutumia kulingana na Imani yako. kama mstari huu unavyosema

Wakatoa pepo wengi , wakapaka mafuta wengi waliokuwa wagonjwa , wakapoza. Marko 6:13

Ndivyo itakavyoenda kutokea na kwako jumapili hii .

kanisa la universal la ufaleme wa Mungu tunapatikana katika matawi yafuatayo ;
1. Makao makuu : kanisa la Universal la ufalme wa Mungu , barabara ya chang’ombe tunatizamana na chuo cha ufundi veta

2. kanisa la universal la ufalme wa Mungu , ukonga 
barabara ya Nyerere karibu na shule ya msingi mzambarauni na FFU

3. kanisa la universal la ufalme wa Mungu ,mtoni kwa Azzi Ally
barabara ya kabuma sokoni karibu na NMC ya zamani kwa mama Jumaa

4.kanisa la universal la ufalme wa Mungu , chanika
shuke ya msingi chanika , kituo magenge ukumbi wa manka

5.kanisa la universal la ufalme wa Mungu , yombo vituka
mwanzo lumo barabara ya folklanda karibu na kwa mmsai muuza maji .

Wote mnakaribishwa katika siku hii , unaweza pia kushare ujumbe huu ili uwafikie watu wengi zaidi…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *