Tambua :Mungu anamuomba nani dhabihu:

Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee… Mwanzo 22:2

Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate. ” Marko 10:21

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Yohana 3:16

Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye? 

Warumi 8.32

Kwa ujumla, kwa sababu Mungu anatupenda, hatatuokoa kutoka kwenye dhabihu.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *