Wanaweza kupunguza…

Wanaweza kukukata …

Wanaweza hata kujaribu kukuangamiza…

Wanaweza hata kusema kuwa umekwisha. Lakini kama tu mizizi yako imepandwa pembeni ya Mto (Roho Mtakatifu), hakuna chochote na hakuna yeyote atakayekuzuia kuzaa matunda.

…Lakini kwa harufu ya maji utachipuka, Na kutoa matawi kama mche. Ayubu 14: 9

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *