Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano wake yeye aliyeuumba. Wakolosai 3 : 5, 9-10

Njia pekee ya mtu kuwa na asili ya Mungu, hii ni, kupokea Roho Mtakatifu, ni kuuwa asili yake ya kibinadamu.

Wakati mwingine mtu husali, hufunga, hufanya makusudi, kila kitu kwaajili ya Bwana Yesu kufanya kazi ndani yake, kupokea Roho Mtakatifu, wakati, kwa kweli, anahitaji kuua asili yake ya zamani.

Hii ni pale Roho Mtakatifu atakapokuja kukubadilisha kulingana na mfano wake aliyekuumba!

 

Askofu Macedo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *