Makao makuu:

Kanisa la Universal la Ufalme wa Mungu – Barabara ya Chang’ombe Tunatazamana na chuo cha ufundi Veta.

Kanisa la Universal la Ufalme wa Mungu – Yombo vituka

Mwanzo Lumo barabara ya Folkland karibu na Mmasai muuza maji.

Kanisa la Universal la Ufalme wa Mungu – Mtoni kwa Azizi Ali

Barabara ya kwa kabuma Sokoni karibu na NMC ya zamani kwa mama Jumaa

Kanisa la Universal la Ufalme wa Mungu – Chanika

Shule ya msingi Chanika kituo cha Magenge, Ukumbi wa Manka.

Kanisa la Universal Ufalme wa Mungu – Ukonga Mzambarauni

Barabara ya Nyerere karibu na Shule ya msingi Mzambarauni karibu na nyumba za FFU.